Huduma

Vijana house of vision

Taasisi yetu la vijana house of vision (VHV) imejikita katika kutoa huduma mbali mbali za kijamii katika mikoa yote nchini Tanzania.

Huduma zetu tunazitoa kwa mfumo wa vikundi na siyo mtu mmoja mmoja. Kwa hivyo basi ili tuweze kukupatia huduma zetu itabidi uwe mwanachama wa kikundi. Kwa sasa taasisi yetu imeweka shabaha kwenye utoaji wa mikopo (pesa taslimu na bidhaa) kwa wanachama kwa njia ya VICOBA

Fahamu zaidi kuhusu VICOBA

logo

5

Mikoa

445

Wanachama

21

Vikundi

9

Viongozi

Huduma tunazozitoa kwa sasa

Utoaji wa mikopo

Taasisi yetu inatoa huduma za mikopo ya pesa taslimu na bidhaa au mashine

Elimu ya ujasiriamali

Tunatoa mafunzo ya jinsi ya kuanzisha na kuendesha biashara ndogondogo.

Mafunzo ya biashara

Pia tunatoa elimu kwa wamiliki wa biashara. Namna ya kupambana na changamoto za kiashara n.k.

WANACHAMA WETU